Loading...
wafuasi elfu mbili
11 Nov, 2025 HRT SACCOS
Tumefikisha wafuasi 2000 katika mtandao wa Facebook. Asanteni sana kwa kutuamini, kufuatilia habari zetu, na kushirikiana nasi kila hatua. Upendo wenu ndio unaotupa nguvu ya kuendelea kuhudumia Wanachama wetu kwa ubora zaidi, kama bado haujatufuata bonyeza 👉https://www.facebook.com/share/1CK9EnPhKu/ Hai Rural Teachers SACCOS – Pamoja tunakua. #ThankYou #2000Followers #HaiRuralTeachersSACCOS #TunaendeleaKukua #Facebook #saccos #TanzaniaYetu #tanzania

Makala Za Hivi Karibuni